Aliyewahi kuwa Waziri mwandamizi katika wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara ya Elimu, Ndg. Joseph Mungai, amefariki dunia jioni ya leo, katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu.
Mungu ampumzishe kwa amani.!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.