"Baaada ya kukaa kimya sana katika game la muziki wa Bongo Flava hatimaye mwanenu nimerudi na wimbo wa kizalendo unao kwenda kwa jina la TANZANIA"
"Nimerekodi katika studio za K Records Kilimahewa jijini Mwanza,chini ya mtayarishaji mahiri anaye tamba hivi sasa Producer Sam"
"Naaomba msaada wetu na ushirikiano wenu katika promo wandugu na wiki mbili zijazo video itafuata. PAMOJA SANA"
By @kabago
BOFYA PLAY KUISIKILIZA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.