President and CEO of WORLD FOOD CHAMPIONSHIP Mr Mike Mc Cloud akimkabidhi tuzo Uisso |
Chef Uisso ambaye ni mpishi mwandamizi katika mgahawa wa Afrikand uliopo Kinondoni, anaandika historia ya kuwa Mwafrika wa kwanza kuchaguliwa kushiriki fainali za mashindano hayo na kuibuka kuwa mshindi wa nafasi hiyo huku akiwabwaga wapishi 21 kutoka hoteli kubwa na maarufu duniani walioshiriki fainali hizo zilizoanza Novemba 8 mwaka huu.
Uisso akiwa na Madam Julie Haunn the National Coordinator WORLD FOOD CHAMPIONSHIP
Chef Uisso kikazi zaidi. |
Uisso akiwa na Madam Julie Haunn the National Coordinator WORLD FOOD CHAMPIONSHIP
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.