Makamu Rais Mama Samia Suluhu Hassan yuko mkoani MWANZA kwa ziara ya kikazi ya siku 6 ambapo baada ya kuzindua miradi ya afya, elimu jana amefunga safari kuelekea kuweka jiwe la msingi katika mradi mkubwa wa maji wilayani UKEREWE.
PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGO BLOG
PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGO BLOG
MAMA SAMIA HASSAN SULUHU.MAKAMU WA RAISI WA JAMUHURI YA TANZANIA TAYARI KWENYE MELI YA MV NYAHUNGE KUELEKE WILAYANI UKEREWE MKOANI MWANZA KWA ZIARA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.