ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 8, 2016

MAHARUSI WENYE AKILI TAAHIRA WAFUNGA NDOA.

Harusi ya kipekee kati ya wachumba wawili wenye akili ya taahira imefanyika hii leo huko Kiambu.

Ndoa hiyo licha ya kuwaunganisha maharusi walemavu, haikuwa tofauti na harusi ya kawaida na ilihudhuriwa na halaiki huku shamra shamra zikinoga.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.