Watumishi hewa wasepa na Sh. 5 Bil za Benki, Inatisha Mama asimulia alivyovamiwa saa 9 usiku, Polisi wapya walilia mishahara miezi minne.
Maalim Seif amdhibiti Lipumba benki, Mwakyembe afichua siri nzito, Wafuasi CUF kortini kwa kukutwa na mabomu 10, Samia akiri uhaba wa dawa.
Bakhresa kuongeza viwanda vya matunda, Watumishi sasa kuhakikiwa majina, JPM awavuruga watendaji wake, Samia amuumbua waziri Ummy.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.