| Tayari warembo 30 wa kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Tanzania 2016 wameingia jijini Mwanza na hapa ni katika mapokezi nje kidogo ya mji eneo la Buhongwa. |
| Msafara wa mapokei kutinga katikati ya jiji. |
| Msafara ukielekea sehemu ya mapumziko. |
| Mbele bodaboda wa Mwanza waliungana nasi kwa mapokezi hayo. |
| Kutoka Barmedaz Tv wanahabari kikazi zaidi. |
| Wanyange wa Miss Tanzania katika mtoko mpya tayari kwa hatua nyingine. |
| Nyuso za furaha. |
| Ni nani kati ya hawa jibu kupatikana tarehe 29 October 2016 eneo la tukio Rock City Mall Mwanza. |
| Nyuso za ushindi... |
| Ni ushindani tu. |
| Katikati ya jiji kiashiria cha Mwanza Samaki Round about. |
| Yep. |
| Thelathini ndiyo hawa. |
| Imepewa nguvu na JembeNIjembe. |
| Team. |
| Engo. |
| Pozi flani. |
| Warembo Miss Tanzania. |
| The angle......Miss Tanzania Karibu Mwanza. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment