ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 26, 2016

UWEKEZAJI.

1. MKUU WA MKOA WA MWANZA JOHN MONGELLA  MARA BAADA YAKUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA NCHINI KOREA KUSINI.

2. MKUU WA MKOA WA MWANZA JOHN MONGELLA AKIMUELEKEZA JAMBO MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILEMELA JUU UJUMBE KUTOKA KOREA KUSINI.

3. TUPO TAYARI KUJA KUWEKEZA KATIKA NCHI YA TANZANIA NA HUSUSAN KATIKA MKOA WA MWANZA, NDIVYO ANAVYO ONEKANA KUSEMA SON YOUNG SOO, KIONGOZI WA MSAFARA KWA MKUU WA MKOA WA MWANZA.

4. FURSA NI JAMBO MOJA UTAYARI WA WANANCHI WETU NI JAMBO JINGINE, NIWAOMBE WANANCHI KWA UJUMLA WAO WAWE TAYARI KUSHIKIANA NA WAWEKEZAJI. NAIBU WAZIRI WA ARDHI NA MBUNGE WA ILEMELA, DKT. ANGELINA MABULA.

5. TUNAPOSEMA, MWANZA KAZI NA MAENDELEO NDIO HII TAFSIRI YAKE, KOREA KUSINI WAMEKUJA, KWASABABU YA AMANI NA UTULIVU WA NCHI YETU, RC MONGELLA (PICHA ZOTE NA OFISI YA RC MWANZA),

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.