ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 26, 2016

CUF WAMJADILI LIPUMBA, JPM ASHUKURU VIONGOZI WA DINI, JARIDA LASIFU NDEGE MPYA ZA MAGUFULI.


Jarida lasifu ndege mpya za Magufuli, JPM ashukuru viongozi wa dini, CUF wamjadili Prof. Lipumba, IPTL na TANESCO waungana kupinga hukumu ya ICSID. Pata undani wa dondoo hizi hapa.


UKAWA hatarini kufa, Jarida la Forbes lasifu uwezo wa Bombardier, Yanga yaangukia pua yachapwa na Stand united. Habarika na dondoo hizi za magazeti hapa.

Sinema ya CUF yanoga, JPM awasifu viongozi wa dini, Mbatia  ataka rais afunge mjadala IPTL na ESCROW. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.