Ungana na wahenga wa mwendo kasi @mbabavc @harith_jaha na @chrissthedj katika Dodoso la Drive mix ya 93.7 Jembe fm Mwanza kuanzia saa kumi alasiri mpaka saa moja jioni leo hii usisahau kuhusu zile story kali za siku tunaziita za moto. Zitakufanya ufurahie siku yako hata kama kuna mtu kakuvuruga
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.