j23, 24 na 25: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimu wanafamilia alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
j26: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka sahihi kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
j27: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekezwa jambo na Rajabu Aboud Jumbe alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016. Nyuma yao ni Mama Janeth Magufuli na wanafamilia wa Mzee Jumbe.
j28 na j29: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kaburini na kutoa heshima zake alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016.
jz30: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na ujumbe wake wakishiriki dua alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
jz31:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.