ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 21, 2016

AJALI NYINGINE: BASI LA SUPER SHEM LAPATA AJALI MWANZA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU

Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza kwenda  Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace katika kijiji cha Hungumalwa Mwanza na kusababisha vifo vya watu  wanaodaiwa kufika 11 asubuhi hii.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, wanaeleza kuwa Basi hilo liliigonga gari hiyo ndogo ambayo iliingia kwenye barabara kubwa bila ya kuwa na tahadhali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. ITAENDELEA HAPA




Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.