|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba(katikati), akizungumza na watendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu(UNODC), Bi. Kaitlin Meredi (kulia) na Johan Kruger(kushoto), walipomtembelea ofisini kwake,jijini Dar es Salaam,leo. Ziara hiyo ikiwa na lengo la kujadili njia muafaka za kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii. |
|
Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu(UNODC),Johan Kruger(kushoto), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati),walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumzia juhudi mbalimbali za kupambana na biashara haramu ya Dawa za Kulevya.Kulia ni Mratibu wa Kupambana na Uhalifu wa Majini, Kaitlin Meredith |
|
Mratibu wa Programu ya Kupambana na Uhalifu wa Majini kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu(UNODC), Kaitlin Meredith (kulia), akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, masuala yanayohusu udhibiti wa uhalifu unaofanyika majini walipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, leo. |
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati),akiagana na Mratibu wa Programu ya Kupambana na Uhalifu wa Majini, Kaitlin Meredith, mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, leo.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu(UNODC), Johan Kruger (Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) |
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA MAMBO YA NDANI YA
NCHI)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.