ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 2, 2016

WATOTO WA WAFANYAKAZI WA AIRTEL WATEMBELEA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA AIRTEL JIJINI DAR.

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akiongea na watoto, wakati wa program maalum ya Airtel  inayofanyika kila mwaka inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.

Meneja huduma kwa wateja wa Airtel Tanzania, Delphina Msuya akiongea na watoto walipotembelea kitengo chake, wakati wa program maalum ya Airtel  inayofanyika kila mwaka inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.