ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 2, 2016

JEMBE FM NANE NANE LIVE 2016

Radio yako Jembe Fm tayari imeshaweka kambi katika viwanja vya Nanenane vilivyoko Nyamhongolo wilaya ya Ilemela jijini Mwanza.

Hii ni fursa kwa wafanyabiashara kuweza kukuza biashara zao na huduma mbalimbali wanazozitoa kupitia kutangaza na Redio hiyo kwa bei nafuu.

Ukifika ndani ya maonesho fika katika banda letu nasi tutakusaidia.

#Hakunaaaaa

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.