ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, August 7, 2016

PICHA: LEO TAREHE 7 AGOSTI MWANZA WAKIENDELEA NA MAONESHO YA NANE NANE 2016.

                 
                         Deejay Jacko wa Jembe Dj's Ya Jembe Fm akiendeleza mizuka yake.



Leo Agosti 7 ya mwaka 2016 ndani ya Rock City Mwanza Tanzania maonesho ya kuelekea kilele cha maadhimisho ya Nane Nane yameendelea huku wakazi wengi wa Mwanza wakijitokeza kwa wingi kujumuika na familia kubwa ya Jembe FM, Jembe Beach Resort Jembe Dj's. Gsengo Blog  kuhakikisha maadhimisho yanaenda vizuri na hapa kuna Picha baadhi za tukio zima.



Waliohudhuria wakiendelea kudondosha Burudani


Baadhi ya Raia wakiendelea kuenjoy Burudani kutoka Jembe Dj's


Mtangazaji wa Jembe Fm 93.7 Baba Juti (kulia) akisimamia mchakato wa kusaka vipaji vya muziki viwanja vya Nyamhongolo jijini Mwanza.











Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.