SIMU.tv: Pluijm awatuliza Yanga, Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, Salamu ya Maalim Seif yabamba mitandaoni nchini. Pata undani wa dondoo za magazeti ya leo hapa.
SIMU.tv: Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, Majaliwa: Ukaguzi wa wanafunzi hewa ufanyike nchi nzima,huduma mabasi ya mkoani kusitishwa, biashara ya mkaa yapigwa marufuku, Lema atajwa kummg’oa RC Arusha.
SIMU.tv: Majaliwa: Tunajadili maslahi ya watumishi wa umma, RC Arusha atumbuliwa, Makamba amshangaa waziri mkuu kung’ang’ania Dodoma,ATCL,UDA , bandari kutikisa bunge lijalo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.