ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 15, 2016

HUU NI UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO AUGUST 15, 2016.


CH 10: Ufisadi UVCCM jipi latumbuka, Mbunge wa CUF Tanga akamatwa na polisi, Aboud Jumbe afariki dunia, Msekwa aibua siri kuhamia Dodoma. Pata undani wa dondoo hizi za magazeti hapa.

TBC: Ndugai atia mguu operesheni UKUTA, Buriani Aboud Jumbe, Kubenea apasua jipu, Kimewaka UVCCM, Ndugai aibuka na mambo mazito. Pata undani wa dondoo hizi hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.