ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 17, 2016

TANZIA: KWAHERI SOKOLO

💠Asubuhi ya leo nikiwa kwenye kipindi nilipata taarifa ya msiba wako, likitajwa jina na katu fikra zangu hazikutaka kujisumbua kutambua kwamba ni wewe uliyetutoka.... Nikajipa moyo tena na tena kwamba siyo wewe kisa eti kwasababu tumeshirikiana sana kwa mafanikio na tulikutana siku kadhaa zilizopita na kuweka mikakati ya kazi kimapinduzi zaidi...... Duh kumbe ni kweli ni wewe na si mwingine na tayari kamanda umetangulia mbele za haki. Mungu akurehemu rafiki usiye na makuu! RIP kamanda mvumilivu Charles Sokolo. CC:- #jembefamily #barmedas #AICTmakongoro @jembenijembe @dvjfrank @deejaykflip @mbabavc @okeleky @harith_jaha @nattyebrandy @mansourjumanne

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.