Kocha Joseph Omog awahidi viongozi na mashabiki wa klabu ya Simba kuisaidia klabu yao kutwaa kombe la ligi kuu soka Tanzania bara;
Klabu ya Yanga yaeleza kushangwa na hujuma zinazofanya na shirikisho la soka nchini TFF kwa kuitaka CAF kufuta mchezo wao dhidi ya TP Mazembe uliofanyika tarehe 28.06.2016 jijini Dar es Salaam;
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.