ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 15, 2016

MAGAZETI YA LEO:- WASOMI: PROFESA LIPUMBA ANASHUSHA HESHIMA YAKE. ILIMWENGU ATAKA JK ASHTAKIWE.RIPOTI YA LUGUMI YARUDI TENA KWA KAMATI NDOGO


Wasomi: Profesa Lipumba anasusha heshima yake. Ulimwegu ataka JK ashtakiwe. Ripoti ya Lugumi yarudi tena kwa kamati ndogo. 

Maalim Seif aeleza machungu yake Marekani. Mkapa ajuta ubinafsishaji viwanda. Lowassa amshukia IGP kwa kuzuia maandamano ya vyama. 


Mrema amkingia kifua Magufuli. Chadema yaondoa kesi dhidi ya polisi. Madawati kuwang’oa ma DC,RC. Sakata la meya Mwanza laibua tafrani CCM.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.