Igoma kumekucha |
Msemaji kutoka GSM akizungumza na wana Igoma kuhusu huduma wanazozitoa kupitia pikipiki zao mpya zenye ubora uliofanyiwa tafiti kulingana na soko na mazingira ya watumia barabara nchini Tanzania. |
Muamko wa wana Igoma. |
Ushindani katika Mkali wa Danadana ulikuwa mkubwa. |
Maufundi hadi ndala zinakatika......balaaaaaaaa!!! |
Ufundi na mautundu. |
Alaaaaa......maufundi zaidi. |
Ze area. |
Mshiriki wa shindano la Sura Mbaya Igoma katika pozi la kucheka. |
Wadau wa Igoma. |
Pia mashabiki waliojitokeza viwanjani hapo walichomoka na zawadi mbalimbali kutoka kwa wadhamini hapa jamaa anaondoka na Tishirt ya StarTimes baada ya kujibu swali. |
Mshindi mwingine katika maswali ya papo kwa hapo.. |
Kijana huyo aliigiza moja kati ya sauti za matangazo ya Jembe Fm ambapo alimuigiza Mhe. Magufuli na kujinyakulia kalamu toka kwa moja wa wadhamini wetu StarTimes. |
Ze area. |
Pozi la kushangaa mshiriki toka Igoma. |
Kucheka jeh!!. |
Wawakilishi wa shindano la Sura Mbaya kutoka Igoma katika picha na wadhamini. |
Wawakilishi wa kumsaka mkali wa danadana igoma Owasi Tiger (wapili kutoka kulia) na Chuse Juma (wapili kutoka kushoto) wakiwa wamewekwa kati na wadhamini kwenye picha ya pamoja. |
Maufundi ya Jembe Djz na Deejay Jacko. |
Mzigo wa mshindi toka GSM. |
Me inade area. |
Next ni Pasiansi wilayani Ilemela jijini Mwanza |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.