Kamati ya Lugumi yaibua madudu 6, Amri ya kuzuia mikutano ya kisiasa yapingwa majhakamani, Majambazi hatari yauawa Dar es salaam. Pata dondoo hizi za magazeti ya leo hapa.
Polisi yawaua vinara wa mauaji nchini, CHADEMA vitani na IGP, Bunge Live yawaburuta Nape na Masaju kortini.
Vinara wa kuchinja watu wauawa Dar, FFU jela miaka 30 kwa ubakaji, Wengi wampongeza JPM kuteua Ma-DC vijana. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/AXa-YkSjZXU
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.