![]() |
| Mikononi mwa mgeni rasmi album 'Usiyaogope Maisha' |
![]() |
| Wadau wa burudani walizichanga kwa njia mbalimbali.... |
![]() |
| Mkurugenzi wa Semira LTD naye alipata nafasi ya kuchangia katika harambee fupi iliyofanyika ndani ya uzinduzi wa album 'Usiyaogope Maisha' ya Bendi ya Twanga Pepeta. |
![]() |
| Master Plan naye alipata fursa ya kuujazia mfuko wa madawati. |
![]() |
| Zamu ya Ashraf. |
![]() |
| Shukurani za Mkuu wa Mkoa mara baada ya fedha kukabidhiwa kwa Mr. Matia Levi (kulia) ambaye ni Katibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. |
![]() |
| Rais wa Bendi ya Twanga Pepeta Ally Choki (kushoto) na Makamu wake Luiza Mbutu (kulia) wakiongoza safu ya mashambulizi jukwaani. |
![]() |
| Hapa Kalala Jr, hapa Haji BSS na hapa Luiza Mbutu. |
![]() |
| Rogati Hega na sauti yake adimu kwa stage la Twanga. |
![]() |
| Makamuzi yaliendelea kwa style yake. |
![]() |
| Hatari sana. |
![]() |
| Kikazi zaidi. |
![]() |
| Mashambulizi ya Twanga. |
![]() |
| Mzuka wa bass guitar ulipopanda ilikuwa zaidi ya uchizi. |
![]() |
| Zile swaggZ....pale kati. |
![]() |
| Shabiki na stage la Twanga Mwanza. |
![]() |
| Chekshia. |
![]() |
| Keyboardist wa Twanga Pepeta mtamboni huku Luiza Mbutu akichombeza kwa pembe ni balaaa. |
![]() |
| Mpigaji wa solo guitar na Twanga Pepeta akifanya mashambulizi. |
![]() |
| Kwa hisia zaidi Kalala Jr na Luiza Mbutu. |
![]() |
| Twanga Pepeta dadaz....mbeeeeele. |
![]() |
| Ally Chiki akiimbisha mashabiki wake. |
![]() |
| Double impact. |
![]() |
| Selfie na kamera ya Gsengo. |
![]() |
| Drummer boy wa Twanga Pepeta James Kibosho na selfie ya Gsengo blog. |
![]() |
| Taswita kutoka juu. |
![]() |
| Another selfie. |
![]() |
| Meneja wa Villa Park Mwanza Rammadhan akiwa na mkewe Bi Husna. |
![]() |
| The last Selfie kwa tukio. |
BIG UP TWANGA PEPETA 'KISIMA CHA BURUDANI' TUTAINUNUA SANA ALBUM YENU 'USIYAOGOPE MAISHA'
by Gsengo.
Tupe maoni yako



































0 comments:
Post a Comment