Daktari
Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dk.Richald Gellman kutoka Califonia - San
Fransisco Marekani (kushoto), akiwaonesha kifaa Chuma, maalumu kinacho
tumika kufanya marekebisho ya mifupa iliyo pinda baada ya kuunga vibaya
au kutounga kabisa, madaktari mbalimbali kutoka nchi mbalimbali ,
Kenya, Burundi, Rwanda, Zambia, DRC Congo, Nigeri, Zimbabwe na wenyeji
wao Madaktari wa Taasisi hiyo wamehudhuria Mkutano huo utakaomalizika
Juni 3, 2016 , unaendelea katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa
Ubongo na Mifupa ya Fahamu Muhimbili (MOI)
Dar es Salaam leo.
Pichani ni baadhi ni vifaa
Vifaa mifano na mifananisho.
Vifaa mwili wa mwanadamu wakati mwingine ni kama motokaa.
Vifaa na vitendea kazi kwaajili ya tiba za mifupa.
Darasani zaidi.
Madaktari Bingwa wakiwa katika chumba cha mikutano katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi
Mmoja wa Maktari Bingwa wa Taasisi hiyo mwenye miwani mbele Dk. Moonlight Mnyenye akiandika jambo wakati wa mkutano huo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.