ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 28, 2016

MAGAZETI YA LEO>JPM AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA. SAKATA LA UDA LAIVURUGA SERIKALI. MBOWE APIGA BAO LA KWANZA BUNGENI. KITILYA AFUTIWA SHITAKA KISUTU


 JPM awaapisha makatibu tawala. Mbowe apiga bao la kwanza bungeni. Kitilya afutiwa shitaka Kisutu. CAG awachongea majeshi kwa JPM. 


 Vizuizi kwa magari yanayokwenda nje vyapunguzwa. Wanaodaiwa mkopo nyumba NSSF wakaliwa kooni. Ratiba kura ya maoni wakati wowote.


Wabunge mabubu bungeni kubanwa. Lowassa, Sumaye kutua Dodoma. Meya Dar akomalia sakata la UDA. Waajiri wasiowasilisha michango kubanwa. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.