ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 20, 2016

MGOMBEA URAIS WA CCM ZANZIBAR,DR SHEIN TAYARI AMEPIGA KURA,UCHAGUZI UNAENDELEA

 Zoezi la upigaji kura limeanza huko Zanzibar ambapo mgombea urais wa CCM Dkt Ali Mohammed Shein amepiga kura asubuhi hii katika kituo cha Bungi kisiwa cha Unguja.
 Usalama umeimarishwa visiwani. Hapa chini ni maafisa wa usalama wakiwa na mbwa wa kunusa kabla ya Dkt Shein kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Unguja.
Baadhi ya wapiga kura wakitafuta majina yao kituoni Madungu Chake-Chake, kisiwani Pemba.Mwanamke akipakwa wino kwenye kidole chake baada ya kupiga kura kituo cha Madungu Chake-Chake, Pemba.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.