March 6 2016 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza katibu mkuu kiongozi mpya kuchukua nafasi ya aliyekua kwenye nafasi hiyo Ombeni Sefue.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment