Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akitoa taarifa juu ya ujio wa Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania na Mheshimiwa Janet Magufuri. |
Kwa kuzingatia jiografia ya Mikoa hiyo, Mheshimiwa Waziri Mkuu anatarajiwa kupitia Mkoa wa Mwanza ambapo atafika Mwanza tarehe 01Machi2016 (Alasili) na kuondoka tarehe 02Machi, 2016 kuelekea Wilayani Busega Mkoawa Simiyu ili kuanza ziara. BOFYA PLAY KUSIKILIZA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.