Pamoja na kutambua kazi kubwa iliyofanywa na Asasi za kiraia kwa kuweza kutoa Elimu ya mpiga kura na kuwahamasisha wananchi wote na wale wanaoishi maeneo yasiyofikika kwaurahisi kuweza kushiriki katika zoezi la upigaji kura.
Bado kulijitokeza changamoto za uelewa kuhusu alama sahihi inayohitajika kuwekwa katika karatasi za kura. Baadhi ya wapiga kura walikuwa wanaweka alama ya V kwa mgombea wanayemtaka na kuweka alama X kwa mgombea asiyemtaka na hivyo kupelekea kura nyingi kuharibika. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Washiriki kwenye mkutano. |
Sehemu ya wadau. |
Kusanyiko kwa ujumla. |
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Geita. |
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Kagera. |
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Mwanza. |
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Mara. |
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Simiyu. |
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura kwa ujumla. |
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari wa mkoa wa Mwanza. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.