ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, December 10, 2015

VIDEO ZA MAGUFULI AKITANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI.


Hatimaye rais Magufuli atangaza baraza lake la mawaziri ambapo baraza hilo lina wizara chache kama alivyoeleza hapo awali.



Rais Magufuli ameagiza  fedha zilizotengwa  kwaajili ya semina elekezi kwa mawaziri zielekezwe kwajili ya matumizi mengine.


Rais Magufuli amewataka mawaziri wapya kufanya kazi kwa bidii kwaajili ya manufaa ya wananchi wote bila kujali tofauti zao.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.