![]() |
| Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiwa ukumbini hapo kabla ya kuapishwa. |
![]() |
| Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kabla ya kuapishwa. |
![]() |
| Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiapishwa kuwa madiwani rasmi. |
![]() |
| Katibu tawala wilaya ya Moshi,Remida Ibrahim akiongoza zoezi la upigaji kura kwa ajili yakumpata Mwenyekiti na Makamu wake wa Halmashauri hiyo. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akiteta jambo na Diwani wa kata ya Kahe ,Rodrick Mmanyi wakati wa kikao cha baraza hilo. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akipiga kura wakazi wa zoezi hilo. |
![]() |
| Wajumbe wakishiriki zoezi la upigaji kura. |
![]() |
| Diwani wa kata ya Mabogini Emanuel Mzava akimpongeza Diwani wa kata ya Kindi,Michael Kilawila baada ya kutangazwa mshindi kwa kupigiwa kura 36 . |
![]() |
| Madiwani wakifurahia mara baada ya kuvaa joho rasmi kwa ajili ya uzinduzi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mwenyekiti mpya wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila akiongozana na Makamu wake ,Exaud Mamuya wakati wakiingia katika ukumbi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akitoa muongozo wakati wa uzinduzi rasmi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mwenyekiti wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila akitoa hotuba yake ya kwanza wakati wa uzinduzi rasmi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa uzinduzi wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Moshi. |
![]() |
| Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro ,Severine Kahitwa akitoa maelekezo mbalimbali ya uendeshaji wa baraza hilo kwa Madiwani na uongozi mpya wa baraza hilo. |
![]() |
| Menyekiti wa Chadema wilaya ya Moshi vijijini Ekarist Kiwia pia alikuwa ni miongoni mwa mashuhuda wa mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa Halmashauri. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi ,Michael Kilawila. |
![]() |
| Ndugu wa madiwani wakifurahia nje ya ukumbi wa Hlamshauri ya wilaya ya Moshi mara baada ya Madiwani kuapishwa. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kakskazini (0755659929). |
Tupe maoni yako




























0 comments:
Post a Comment