Tushaianza safari ya kuhesabu saa chache zilizosalia hatimaye kutinga mwaka mpya 2016 na sasa ni vyema kukitambulisha kiwanja ambacho wana Mwanza wakiwa pamoja na wageni wao watakapokwenda kukutana na kufanya yao.
Main bar ya Jembe Beach iliyoko Malimbe jijini Mwanza na mwonekano wake.... |
Kutoka moja ya engo ndani ya Jembe Beach Mwanza. |
Ukiwa Jembe Beach, Ziwa Victoria unaliona engo kwa engo ambapo humo ndani kuna vivutio vya kila aina .... hili hapa na haya ndiyo yanayojiri... |
Kiota. |
View toka Bata Lounge. |
Jembe Copter side. |
The main Bar ya Jembe Beach Mwanza. |
Karibu Jembe Beach Mwanza jisikie kama uko home. |
Marafiki hiki ni kiwanja chenu. |
Jiwe kuu. Karibu Jembe Beach Resort. Karibu tuukaribishe kwa kujiamini mwaka 2016. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.