KAMA UMEKOSA MATUKIO MAKUBWA AMBAYO TASNIA YA MICHEZO TZ HAIWEZI KUSAHAU KWA MWAKA HUU KUPITIA **SPORTS RIPOTI** 93.7 JEMBE FM. BASI HILI NI MOJA WAPO. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
March 14, 2015 ndio Kocha Marsh alifariki dunia akiwa katika hospital ya taifa ya Mhimbili alipokuwa akipata kliniki ya matibabu ya Saratani ya koo. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Najua MARSH ACADEMY MWANZA inakumisi sana Na Familia ya Mpira Tanzania itakukumbuka Daima. "Kwaheri 2015 umekwenda na Shujaa Marsh.." Karibu2016 ili tuone Mashujaa Wapya. Simulizi kwa sauti kupitia GSENGO BLOG. @abog_a_plus_b @elikanamathias @jumaayoo @h_babaofficial
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.