S Miah ft Young Rafa Manengo & Ally Kijo - Amsha Popo (Official Music Video)
Ni safari nyingine hii katika game ya muziki hapa Bongo, and this time toka Rock City ni video mpya kutoka kwa Smiah akiwa amemshirikisha Young Rafa na Ally Kijo wimbo unaitwa Amsha Popo ikiwa audio yake imefanywa na producer anaejulikana kwa jina la King Fenya Ze Beat na video ikiwa imeandaliwa na kuongozwa na Kenny Ukiyz.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.