ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 24, 2015

PICHAZ ZA MSHINDI WA AIRTEL TRACE AKIWA NCHINI MAREKANI.


Familia ya Mayunga ikiwa katika viwanja vya Airport vya mwalimu Julius Kambarage Nyerere kabla ya mayunga kusafiki kwenda Marekani

Nalimi Mayunga akiangalia muda wa kutua nchini Marekani wakati akiwa kwenye ndege ya shirika la KLM

Nalimi Mayunga akiwa katika chakula cha jioni na wenyeji wake nchini Marekani

Mshindi wa Airtel Trace , Nalimi Mayunga wakiwa katika picha ya pamoja  na mwanamuziki wa R&B Akon, mara baada ya kuwasili nchini Marekani

Nalimi Mayunga apiga selfie na mwakilishi wa Trace nchini Marekani bi.....akiwa kwenye gari kuelekea nyumbani kwa Akon
 

Mayunga akiwa nyumbani kwa Akon na kupata mafunzo  mara baada ya kuwasili nchini Marekani
 

Nalimi Mayunga akiwa kwenye harakati za kufanya video shooting
 

Nalimi Mayunga akifanya mazoezi ya wimbo wake kabla ya kurekodi video na Akon
 

Nalimi Mayunga akiwa Univesal Studio Hollywood tayari kwa kurekodi single yake na Akon
 

Nalimi Mayunga akiwa Univesal Studio Hollywood tayari kwa kurekodi single yake na Akon


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.