KESI
ya malalamiko dhidi ya pingamizi la Serikali mkoani Mwanza iliyofunguliwa na mzazi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani GEITA alphonce Mawazo inaendelea tena hapo kesho ambapo maamuzi ya mahakama yanataraji kutolewa.
Kesho Mahakama Kuu kanda ya Mwanza itandesha Kesi ya wazi iliyofunguliwa na Baba mdogo wa Marehemu Mzee Charles Lugiko akipinga kauli ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa huo Charles Mkumbo ya kutaka mwili wa Alphonce Mawazo usiagwe jijini Hapa.
Kwa upande wa walalamikaji kesi hiyo inayoongozwa na mawakili watatu ambao ni James Olemilya, John Malya na Paulo Kipeja.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.