MATOKEO ya uchaguzi jimbo la Ulanga.
Isaya Maputa ACT kura 626,
Mlinga Goodluck CCM kura 25,902,
Ikongoli Michael CHADEMA kura 10,592,
Jumla ya wapiga kura waliojiandikisha walikuwa 79,533
Idadi halisi ya wapiga kura 37,499
Kura halali ni 37,120
Kura zilizo haribika 379
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.