Yule Mwanamuziki mkali kutoka nchini Zambia, ambaye yu atamba na single yake Amarula inayopatikana ndani ya album yake yenye nyimbo nyingi kalikali Roberto, amepata fursa ya kuzungumza na vyombo mbalimbali vya habari jijini Mwanza nchini Tanzania.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa:- Anajisikiaje kuwa nchini Tanzania na pengine hii ni safari yake ya ngapi kudhuru hapa nchini? BOFYA PLAY KUSIKIA ALICHOSEMA.
Jeh. Roberto ana wito gani kwa vijana kizazi cha katika kusaka maendeleo? BOFYA PLAY.
Yeye ni mwakilishi wa mamilioni ya wananchi wa Zambia hapa nchini kupitia nyanja ya sanaa, akipata nafasi ya kuizungumzia Tanzania mbele ya watu wa taifa lake kipi atasema? BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Pata kionjo cha wimbo Amarula... BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Talking .... |
Sagga continue. |
Meneja mauzo wa kampuni ya Tanzania Distillers alikuwa na haya ya kusema. BOFYA PLAY KUSIKILIZA. |
Mpango mzima. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.