ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 9, 2015

PAM D KUKAMUA HII LEO VILLA PARK

Mmoja wa watangazaji wa Jembe Fm kipindi cha HIT ZONE, Mbaba Voice Character  (kulia) akifanya mahojiano na mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania Pam D ambaye hii leo amepewa dhamana ya kutoa burudani ndani ya shindano la kumsaka Top Model Mwanza 2015, Tukio likitaraji kufanyika katika ukumbi wa Villa Park Mwanza hii leo ijumaa ya tarehe 09 October 2015.
TOP MODEL MWANZA 2015
SIYO YA KUKOSA.. SAVE YOUR DATE 09/10 ON FRIDAY 8:00PM TILL YOUR MAMA CALL YOU.. TAG SOMEONE YOU KNOW IN MWANZA.. HAPA PAM D, KULE LAU TEZZ KITAELEWEKA MPAKA KUCHEEEEEEEEEEE.. ENTERTAINMENT KIBAO KUTOKA KWA WANAVYUO WA (CBE, MIPANGO, IFM, TIA, UCC, MOUNT MERU, SAUT )NA KUTOKA KWA WASANII KIBAO WA HAPA MWANZA.. SO, USIKOSE MTU WANGU.. MWAMBIE HUYO, YULE NA WEWE KWA PAMOJA TUKUTANE SIKU HYO VILLA PARK RESORT YEBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MTAG NA MWEZIO ILI ASIKOSE EVENT HII..
Pam D akitafakari na kuvuta picha ya tukio zima jinsi litakavyokuwa pale Villa Park.
Mpango mzima.
Pam D katikati ya kichaka cha wana-HIT ZONE ya Jembe Fm 93.7 kutoka kushoto utawapata instagram kwa majini @mbabavc @pamdofficial @Nattyebrandy na @chrissthedj. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.