Huyu ni msanii wa muziki wa kizazi kipya anayechipukia kutoka Mwanza, ndani ya kipindi kifupi sana akipiga show za mitaa kwa mitaa kila aliyemkaribia alisema YeeeeessssSSsss. Ndani ya Club Rock Bottom jijini Mwanza, Elizayo hapa anawakutanisha wadau wake wa karibu kutambulisha matunda ya kazi yake. Shuhudia kichupa.
0 comments:
Post a Comment