2.Omary Kisila - Kinanda
3.Hamza S Waninga - Drums
4.Imma Keffa – Bass Guitar
5.Emmanuel Namwinga - Rhythm guitar
6.Amina R Juma – Muimbaji
7.Veronica D Buzeri – Dansa
8.Neema Kawambwa - Dansa
9.Stamili
Hamis – Dansa
10.Greyson
Semsekwa – Rapper
11.Sharey
Aboubakar - Muimbaji
12.Revina
Mzinja - Dansa
13.Salma Shaaban – Dansa
14.Afande
Muhamada - Fundi Mitambo
15.Omary
Maulid – Fundi Mitambo
16.Saleh Kupaza - Muimbaji
17.Dogo Rama - Muimbaji
KUNDI la Double M chini ya Muumin Mwinyjuma, limealikwa Msumbiji kwa mwezi mzima, na katika wakati huo kundi litashiriki katika sherehe za miaka 51 ya Vita vya Ukombozi wa nchi hiyo. Wanamuziki hawa ambao ni wanachama wa Mtandao wa Wanamuziki walipitisha barua yao ya taarifa ya kwenda huko na hivyo Mtandao ukatoa taarifa Baraza la sanaa La Taifa kama inavyostahili.
Habari toka TAMUNET- Mtandano wa Wanamuziki Tanzania
Waliomo katika msafara huo ni pamoja na kiongozi wa kundi Muumin Mwinyjuma, maarufu kwa jina la KOCHA, na wanamuziki wengine 16.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.