ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, August 12, 2015

MSHINDI ALIYEJINYAKULIA TV.NCHI 32 TOKA COCA COLA MWANZA

Deus Kadiko amimkabidhi mshinid wa zawadi ya Televisheni ya nchi 32 
Mshindi akikabidhiwa zawadiwa na mmoja wa mabalozi wa Coca Cola.
Deus Kadiko ambaye ni Meneja Mauzo mkoa wa Mwanza akichezesha droo ya NUNUA SODA PATA TV,FLAT NCHI 32.
Zawadi mbalimbali kwa wananchi.
Mauzo yakiendelea.
Katika Mashindano hayo Meneja wa Mauzo mkoa wa Mwanza Bw. Deus Kadiko amesema kuwa wananchi wakisikia promosheni za CocaCola mahala popote washiriki kwa wingi na kwa kiwango kikubwa kwani zawadi za papo kwa hapo zipo kibao tena za kumwaga kama waswahili wa mtaa wanavyosema. PICHA NA ZEPHANIA MANDIA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.