Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, wakikagua wanafunzi vyaraka muhimu walizopaswa kusafiri nazo ikiwemo viza, vyeti, na passport. |
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaonyesha wanafunzi sehemu ya kwenda kukaguliwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Baadhi ya wanafunzi wakibadilishana mawazo mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaelekeza wanafunzi jinsi ya kuingia kwenye sehemu ya ukaguzi. |
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiambatana na wanafunzi kuelekea sehemu ya ukaguzi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.