ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 26, 2015

TANZANIA ILEEEEeeeeeeeee!!!!

Ni siku saba tu zimepita toka mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz ashinde tuzo ya BEST LIVE ACT kwenye tuzo zilizotolewa na MTV BASE AFRICA Durban Afrika Kusini.
Usiku wa July 25 2015 Diamond ameshinda tuzo nyingine kwenye tuzo za AFRICAN ACHIEVERS AWARDS 2015 zilizotolewa Afrika Kusini ambako pia Diamond alihudhuria.
GSENGO BLOG YASEMA:- "HONGERA SANA DIAMOND PLATNUMZ"

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.