| Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo. |
| Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo. |
| Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo. |
| Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo. |
| Swala ikiendelea. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment