ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 7, 2015

WAZIRI WA KILIMO ,CHAKULA NA USHIRIKA STEPHEN WASIRA AZURU MKOA WA KILIMANJARO.

wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira; akiwa ndani ya ofisi za CCm mkoa wa kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi  ili kuweza kupata nafasi ya kugombea nafasi ya Urais kati kati ni mwenyekiti wa mkoa wa kilimanaro Deogratius  Luta kulia ni katibu wa ccm mkoa huo Idd Juma Mohamed.

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiwa anaongea na mmoja wa kada wa ccm aliyejitokeza kumdhamini.

 Waziri wakilimo na ushirika Stephen Wasira akiwa anaongea na wananchi waliojitokeza kumthamini katika mkoa wa Arusha,picha na woinde shizza

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.