Vijana walioacha kutumia dawa za kulevya mkoani Mwanza waishauri serikali kuanzisha mtaala wa elimu utakao toa fursa kwa wanafunzi kujifunza mbinu za kupukana na athari za matumizi ya dawa hizo.
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.