ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 9, 2015

SAFARI YAZIDI KUWEZESHA WATANZANIA.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(kulia) akizungumza na wajasiliamali pamoja na wakazi wa jijini Dar es Salaam waliojitokeza kwenye makabidhiano ya Ruzuku za Safari Lager Wezeshwa msimu wa nne yaliyofanyika Viwanja vya Leaders mwishoni mwa wiki.Kutoka kushoto ni Meneja mahusiano na mawasiliano Tbl, Emma Urio,Mkurugenzi wa taasisi ya wataalamu wa biashara(TBDS),Joseph Migunda na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(katikati) akimkabidhi mjasilamali, Neema Ulomi Cherehani za kisasa tatu katiaka hafla ya kuwakabidhi ruzu wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu wan ne.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(kushoto) akimkabidhi mjasilamali, Clemence Godfrey mashine ya kuchana na kukata mbao katiaka hafla ya kuwakabidhi ruzuku wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu wanne.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(wa pili kushoto) akimkabidhi mjasilamali, Frank Mashoko katiak hafla ya kuwakabidhi ruzuku wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu wanne.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(wa pili kushoto) akimkabidhi mjasilamali, Frank Mashoko katiak hafla ya kuwakabidhi ruzuku wajasiliamali waliofuzu vigezo katika program ya Safari Wezeshwa msimu wanne. Kutoka kushoto ni Meneja mahusiano Tbl, Emma Urio na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bebwa.
Picha ya pamoja 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.