Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba
mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel,
Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano
wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.